MUINGEREZA AKAMATWA BANGLADESH KWA MAUAJI

MUINGEREZA AKAMATWA BANGLADESH KWA MAUAJI

Like
201
0
Tuesday, 18 August 2015
Global News

POLISI nchini Bangladesh wamewakamata watu wengine watatu, akiwemo raia mmoja wa Uingereza kuhusiana na mauaji ya mwanablogu maarufu ambaye anaaminika kuwa si-mcha Mungu.

Idara ya Polisi imesema kuwa raia huyo wa Bangladesh mwenye asili ya Uingereza anayefahamika kwa jina la Touhidur Rahman anashukiwa kutoa ufadhili wa kifedha kwa washukiwa hao wengine wawili waliokamatwa juzi akiwemo Niloy Neel.

Taarifa zinasema kuwa washukiwa wawili ambao wanatuhumiwa kuhusika moja kwa moja na mauwaji hayo walikuwa wamekamatwa tayari juma lililopita.

 

Comments are closed.