MUSEVENI ASIMAMISHA MSAFARA, AKETI BARABARANI KUPOKEA SIMU

MUSEVENI ASIMAMISHA MSAFARA, AKETI BARABARANI KUPOKEA SIMU

Like
655
0
Tuesday, 12 July 2016
Global News

Rais wa Uganda bwana Yoweri Kaguta Museveni alizua kihoja katika kijiji kimoja karibu na mpaka wa Uganda na Tanzania aliposimamisha msafara wake wa

Rais Yoweri Museveni, alishuka kutoka kwenye gari lake rasmi akachukua kiti chake na kukiweka kando kando ya barabara mpya ya Isingiro ikipitia kijiji hicho cha Kyeirumba hadi Tanzania na kupokea simu faraghani.

E-fm Radio-dar ES Salaam's photo.

Mzee Museveni kama vile baba wa taifa alitumia muda wake kufanya shughuli hiyo huku akiwapungia mkoo wapita njia.

Baada ya dakika 30 hivi raia wa kijiji hicho walishangaa kuwa miongoni mwa maafisa wakuu serikalini.

E-fm Radio-dar ES Salaam's photo.

Ilikuwa ajabu sana kwao kumuoana Museveni akiwa ameketi barabarani.

Waganda katika mitandao ya kijamii wamesambaza picha hiyo ya rais museveni akizungumza kwa simu ambayo inaonekana kuwa sio ya kisasa.

1museveni_villagers_624x351_bbc_nocredit

Comments are closed.