MUWINDAJI ATUHUMIWA KUSAFIRISHA SWARA

MUWINDAJI ATUHUMIWA KUSAFIRISHA SWARA

Like
262
0
Wednesday, 16 September 2015
Global News

 MTAALAMU wa uwindaji anayeshutumiwa kuhusika na kifo cha simba aliyepewa jina Cecil nchini Zimbabwe amekamatwa kwa tuhuma za kusafirisha swara 29 kimagendo nchini Afrika Kusini.

Theo Bronkhorst anazuiliwa mjini Bulawayo na  polisi wa nchini humo wamethibitisha.

Bronkhorst anatarajiwa kusimamishwa kizimbani leo kwa kosa hilo la kusafirisha swara 29 kwa magendo.

Comments are closed.