MUZIKI MNENE BAGAMOYO

MUZIKI MNENE BAGAMOYO

Like
427
0
Monday, 05 October 2015
Entertanment

SHANGWE za  muzikimnene  wa 93.7 EFM ,kwa mara nyingine tena ziliendelea ndani ya bagamoyo . Burudani ya aina yake ikiongozw anatimunzimaya EFM ilishushwandaniyamagetimiaAdon lodge. Wakazi  wa bagamoyo walipata nafasi ya kukutana na watangazaji, na RDJ’s huku wakifurahia burudani ya pamoja.

Muzikimnene bar kwa bar ulipambwana kabumbu kati ya EFM na Bagamoyoveterani

ambapo Bagamoyo veteran waliibuka na ushindi wa bao moja huku EFM wakiambulia sifuri.

Tangu kuanza kwa mechi hizi hii ni mara ya pili kwa 93.7 EFM kufungwa,mara ya kwanza ilifungwa bao  mbili  na    buffalo fc ya  kisarawe.

MATUKIO KATIKA PICHA

unnamed2

unnamed

g

gf

fg

fds

Comments are closed.