MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015 BANGO

MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015 BANGO

Like
370
0
Wednesday, 26 August 2015
Local News

Bwana E Mr Jimmy Jiam wa EFM akipozi na mshindi wa EFM Muziki Mnene Bango eneo la Sinza, jijini Dar Es Salaam. Mshindi huyo alionekana akiwa anasikiliza 93.7 EFM na pia alikuwa ameweka stika ya EFM kwenye sehemu yake ya kazi.

muz

Mshindi mwingine wa EFM Muziki Mnene Bango akiwa na furaha baada ya kukabidhiwa zawadi na bwana E wa EFM. Dada huyo alikuwa ameweka stika ya EFM kwenye sehemu yake ya biashara eneo la Magomeni, jijini Dar Es Salaam.

muz2

Bwana E Mr Jimmy Jiam akionekana anapozi na kumpa zawadi ya T-shirt ya EFM  mshindi wa EFM Muzuki Mnene Bango.

muz3

Comments are closed.