MUZIKI MNENE BAR KWA BAR MKURANGA

MUZIKI MNENE BAR KWA BAR MKURANGA

Like
753
0
Monday, 07 September 2015
Entertanment

Muziki mnene Mkuranga sherehe zilianza na ufunguzi wa mechi ya mpira wa miguu kati kikosi bora kabisa cha E-fm na Mkuranga Veteran ambapo mchezo huo ulimalizika kwa E-fm kuichabanga Mkuranga Veteran bao moja kwa sifuri, huku goli hilo la efm likiwekwa nyavuni na Rdj X five baada ya kupata pasi nzuri kabisa kutoka kwa John Makundi.

Baadae moto wa burudani uliwaka pale High Way bar kwa kuwakutanisha wafanyakazi wa efm na mashabiki wake pamoja na wadau wa redio yetu Mkuranga  Muziki mnene bar kwa bar

Wiki hii Muziki mnene bar kwa bar ni zamu ya Mlandizi jumamosi hii ya tarehe 12 burudani za kutosha pamoja na michezo lakini zaidi Muziki utaongea

KIKOSI CHA EFM

IMG-20150906-WA0081 IMG-20150906-WA0041

 

KIKOSI CHA MKURANGA VETERAN

IMG-20150906-WA0039 IMG-20150906-WA0040

PICHA YA PAMOJA

IMG-20150906-WA0042 IMG-20150906-WA0080

 

MASHABIKI WALIOJITOKEZA KUSHUHUDIA MECHI HIYO

IMG-20150906-WA0045 IMG-20150906-WA0044 IMG-20150906-WA0043 IMG-20150906-WA0046 IMG-20150906-WA0047 IMG-20150906-WA0048 IMG-20150906-WA0052 IMG-20150906-WA0076 IMG-20150906-WA0077 IMG-20150906-WA0079 IMG-20150906-WA0078

MATUKIO KATIKA PICHA HIGH WAY BAR

IMG-20150906-WA0074 IMG-20150906-WA0070 IMG-20150906-WA0071 IMG-20150906-WA0072 IMG-20150906-WA0073 IMG-20150906-WA0069 IMG-20150906-WA0068 IMG-20150906-WA0067 IMG-20150906-WA0066 IMG-20150906-WA0062 IMG-20150906-WA0063 IMG-20150906-WA0064 IMG-20150906-WA0065 IMG-20150906-WA0061 IMG-20150906-WA0060 IMG-20150906-WA0059 IMG-20150906-WA0058 IMG-20150906-WA0054 IMG-20150906-WA0055 IMG-20150906-WA0056 IMG-20150906-WA0057 IMG-20150906-WA0050 IMG-20150906-WA0051 IMG-20150906-WA0053 IMG-20150906-WA0049

Comments are closed.