MUZIKI MNENE NDANI YA BOKO

MUZIKI MNENE NDANI YA BOKO

Like
598
0
Monday, 19 October 2015
Local News

93.7 EFM inaendeleza burudani kupitia kampeni yake ya muziki mnene bar

kwa bar. Jumamosi ilikuwa zamu ya wakazi wa bunju  kuongea na muziki wa

93.7 EFM.

Burudani hiyo iliendeshwa na timu nzima ya EFM, iliyocheza mechi na

carlfonia FC ya boko na kuwafunga magoli mawili kwa moja katika uwanja

wao wa nyumbani uliopo ndani ya shule ya msingi boko. “Kwa bahati mbaya

tumeshafungwa mechi tatu ila kuanzia mechi hii ni mwendo wakufunga magori

ya kishujaa” alisema Dennis Ssebo mkuu wa idara ya mahusiano na

mawasiliano.

Baada ya mechi hiyo shangwe ziliendelea ndani Rainer park boko huku Rdjs wa

93.7 Efm wakitoa burudani ya aina yake iliyo acha historia  kwa wakazi wa

boko.

DU7C3925

DU7C3815

DU7C3774

DU7C3591

DU7C3149

DU7C3132

DU7C3124

DU7C3111

DU7C3075

 

Rdj X5 na Rdj timber wakifanya kazi yao kwa umakini.

DU7C3066

Comments are closed.