MWANAFUNZI ATIWA MBARONI KWA KUMTUKANA RAIS

MWANAFUNZI ATIWA MBARONI KWA KUMTUKANA RAIS

Like
347
0
Friday, 26 December 2014
Global News

Polisi nchini Uturuki wamemkamata Mwanafunzi wa Sekondari mwenye umri wa 16 kwa tuhuma za kumtukana Rais RECEP TAYYIP ERDOGAN.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo, kijana huyo amepelekwa mahabusu baada ya kumtuhumu Bwana ERDOGAN na chama chake tawala cha AK kwa vitendo vya rushwa wakati wa Mkutano wa hadhara katikati ya mji wa Anatolia.

Comments are closed.