MWANZA: WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KUWALEA WATOTO KWENYE MAADILI YA KIROHO

MWANZA: WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KUWALEA WATOTO KWENYE MAADILI YA KIROHO

Like
337
0
Tuesday, 14 April 2015
Local News

WAZAZI na Walezi mkoani Mwanza,wametakiwa kuwalea watoto katika maadili ya Kiroho,ili kuepuka Wimbi la Ujangili na Uvunjifu wa Amani nchini.

Mkurugenzi wa Vijana,Jimbo la Nyanza Kusini,Mchungaji JOSEPH MSESE,amesema hayo wakati wa Sherehe ya Uzinduzi wa huduma za Matendo kwa Vijana wa Kanisa la Waadventista Wasabato, katika Kanisa la Kakebe,Igoma jijini humo.

MSESE amebainisha kuwa ili mtoto akue katika maadili mazuri na kuachana na matendo machafu ni vyema akalelewa kimwili,kiroho kijamii na kiakili

Comments are closed.