MWILI WA ALI WAWASILI KENTUCKY

MWILI WA ALI WAWASILI KENTUCKY

Like
296
0
Monday, 06 June 2016
Global News

wa aliyekuwa bondia mashuhuri duniani Mohammed Ali, umewasili mjini Louisville, Kentucky, ambako atazikwa siku ya Ijumaa.

Mwili wa bondia huyo wa zamani ulisafirishwa kwa msafara wa magari kutoka uwanja wa ndege wa Louisville .

Mazishi yake yanatarajiwa kuwa hafla kubwa ya umma.

Ali alikuwa mmoja wa wanamichezo maarufu zaidi duniani katika karne hii ya 20.

Comments are closed.