MWILI WA BRIGEDIA JENERALI MSILU WAAGWA LEO DAR

MWILI WA BRIGEDIA JENERALI MSILU WAAGWA LEO DAR

Like
393
0
Wednesday, 22 July 2015
Local News

MWILI wa aliyekuwa Brigedia Jenerali mstaafu Dismas Stanslaus Msilu umeagwa leo katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo na mazishi yanatarajiwa kufanyika Mkoani Iringa kesho.

 

Brigedia Jenerali mstaafu Dismas alifariki dunia katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo July 19 mwaka huu.
Marehemu Brigedia Jenerali Msilu alijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania mwaka 1975 na Alistaafu utumishi Jeshini mwaka 1993.

Comments are closed.