MZOZO WA KIDIPLOMASIA KATI YA SAUDI ARABIA NA IRAN WAPAMBA MOTO

MZOZO WA KIDIPLOMASIA KATI YA SAUDI ARABIA NA IRAN WAPAMBA MOTO

Like
236
0
Thursday, 07 January 2016
Global News

MZOZO wa kidiplomasia kati ya Saudi Arabia na Iran unazidi kufukuta, huku Iran ikiitaka Saudi Arabia kuachana na msimamo wake wa makabiliano.

 

Waziri wa mambo ya nje wa Iran Javad Zarif, ameitaka Saudi Arabia kuacha kuchochea wasiwasi na kujibu hatua zake za karibuni, ambazo zilisababisha mkwamo huo.

Comments are closed.