KUMBE CHANZO CHA TALAKA KATI YA NAMELESS NA WAHU NI DNA!!!

KUMBE CHANZO CHA TALAKA KATI YA NAMELESS NA WAHU NI DNA!!!

Like
715
0
Wednesday, 12 November 2014
Entertanment

David Mathenge a.k.a Nameless Ameonyesha kukerwa na blogs zilizochapisha habari kwamba yeye na mama watoto wake Wahu wakiwa familia yenye watoto 2 wanampango wa kutalakiana

Bloger George Moseti alichapisha habari hiyo jumapili iliyodai kuwa vipimo vya DNa vilifanywa na kutoa majibu kuwa Nameless sio baba wa mototo huyo

Kufuatia taarifa hiyo Nameless na mkewe Wahu walitumia mitandao ya kijamii kufikisha barua zao alianza nameless kupitia mtandao wa facebook na kukana taarifa ya taraka

facebooknameless111114

 

Comments are closed.