NAMTUMBO: WANANCHI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WAKANDARASI WA MIRADI YA BARABARA

NAMTUMBO: WANANCHI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WAKANDARASI WA MIRADI YA BARABARA

Like
342
0
Thursday, 19 February 2015
Local News

WANANCHI wa Wilaya ya Namtumbo na Tunduru mkoani Ruvuma wametakiwa kutoa ushirikiano kwa wakandarasi wanaotekeleza miradi ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Namtumbo hadi Tunduru  kwa kuacha tabia ya kuwaibia mafuta na vifaa kwa lengo la kuleta ufanisi wa kazi hizo.

Hayo yamesemwa na Meneja Wakala wa Barabbara mkoani Ruvuma –TANROADS ABRAHAM KISIMBO wakati alipokuwa akizungumzia kuhusu maendeleo ya Ujenzi wa Barabara hizo unaoendelea kwa kasi tofauti na miaka miwili iliyopita.

Kabla ya Serikali haijakatisha mkataba na Mkandarasi wa awali wa kampuni    ya Progressive ya nchini India,baaada ya kuonyesha uwezo mdogo katika kazi hiyo.

Comments are closed.