NAPOLI YAILAZA INTER MILAN 2-1

NAPOLI YAILAZA INTER MILAN 2-1

Like
295
0
Tuesday, 01 December 2015
Slider

Napoli yaiengua Inter Milan kileleni mwa ligi ya Serie A baada ya Gonzalo Higuain kutekenya nyavu mara mbili na kuwalaza vijana wa Roberto Mancini waliomaliza mchezo wakiwa 10.

Mshambuliaji wa Argentina Higuain alifungua mvua ya magoli katika sekunde 64 kabla ya Inter kumkosa Yuto Nagatomo aliyepigwa kadi mbili za njano. Adem Ljajic alifanikiwa kuliona lango la Napoli na kufanya matokeo ya mchezo huo kuwa 2-1.

Comments are closed.