NCCR MAGEUZI YATAKA WAZIRI MKUU AWAJIBISHWE KWA KUONDOLEWA MADARAKANI

NCCR MAGEUZI YATAKA WAZIRI MKUU AWAJIBISHWE KWA KUONDOLEWA MADARAKANI

Like
253
0
Monday, 26 January 2015
Local News

CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Mrisho Kikwete, kumuwajibisha kwa kumuondoa madarakani Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwakuwa yeye ndiye kiongozi Mkuu wa shughuli za bunge na ndiyo kiongozi wa Mawaziri wanaotuhumiwa kwa uchotaji wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow.

Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Katibu Mkuu wa chama hicho Mosema Nyambabe, amesema kitendo cha Waziri Mkuu kutojua kwamba kuna bilioni za fedha ya Umma zinachotwa na Mawaziri wake pamoja na wabunge ni sababu tosha kuwa yeye pia hasitahili kuendelea na wadhifa huo.

Comments are closed.