NCCR YAKANUSHA KUJITOA UKAWA

NCCR YAKANUSHA KUJITOA UKAWA

Like
216
0
Thursday, 20 August 2015
Local News

CHAMA cha NCCR-MAGEUZI kimekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Kampeni na Uchaguzi wa NCCR-Mageuzi, Faustine Sungura amesema kuwa chama hicho kimejitoa katika Umoja wa Katiba ya wananchi-UKAWA.

Kauli hiyo imetolewa leo na Kaimu Katibu Mkuu wa Nccr, Nderakindo Kessy ambaye amesema kuwa wananchi waamini kuwa chama hicho hakiwezi kujitoa Ukawa.

Comments are closed.