NCHI ZENYE NGUVU KUKUTANA VIENNA KUIJADILI IS

NCHI ZENYE NGUVU KUKUTANA VIENNA KUIJADILI IS

Like
282
0
Monday, 16 May 2016
Global News

NCHI zenye nguvu duniani zinakutana mjini Vienna, Austria leo kujadili kupanuka kwa shughhuli za kundi la wanamgambo wenye itikadi kali la Dola la Kiislamu IS nchini Libya.

 

Mkutano huo unaongozwa na waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry na mwenzake wa Italia Paoli Gentiloni.

 

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani John Kiry amesema mkutano huo wa Vienna utajadili uungwaji mkono wa serikali ya Umoja wa kitaifa ya Libya na jumuiya ya kimataifa kwa mtazamo wa kiusalama.

Comments are closed.