NDEGE ILIYOPOTEA YAENDELEA KUTAFUTWA

NDEGE ILIYOPOTEA YAENDELEA KUTAFUTWA

Like
287
0
Monday, 29 December 2014
Global News

Shughuli ya kutafuta ndege ya AirAsia ambayo imepotea Desember 28 imeendelea leo tena baada ya kusitishwa kwa muda.

Watu 162 walikuwa kwenye ndege hiyo wakati ikipoteza mawasiliano na kituo cha kuelekeza safari za ndege.

Ndege hiyo ilikuwa safarini kwenda nchini Singapore ikitokea mji wa Surubaya nchini Indonesia.

 

Comments are closed.