NDEGE YA MISRI ILIYOTEKWA NYARA YATUA CYPRUS

NDEGE YA MISRI ILIYOTEKWA NYARA YATUA CYPRUS

Like
298
0
Tuesday, 29 March 2016
Global News

NDEGE ya Misri iliyotekwa nyara imefanikiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Larnaca nchini Cyprus.

Taarifa za uchunguzi kutoka kwenye ndege hiyo zimeeleza kuwa ndege hiyo ya abiria iliyokuwa ikisafiri kutoka mjini Alexandria kuelekea Cairo ilitekwa nyara na watu waliojihami.

Msemaji wa shirika la ndege la Misri amenukuliwa akisema kwamba Watekaji hao waliiamrisha ndege hiyo kutua Cyprus baada ya kuiteka.

Comments are closed.