NDEGE YA UJERUMANI YAANGUKA NCHINI UFARANSA

NDEGE YA UJERUMANI YAANGUKA NCHINI UFARANSA

Like
309
0
Tuesday, 24 March 2015
Global News

NDEGE ya abiria inayomilikiwa na shirika la ndege la Germanwing Airbus A320 Imeanguka katika Milima ya Alps nchini Ufaransa.

Ndege hiyo ilikuwa imebeba abiria 142 na Wahudumu 6 ikitoka Barcelona Uhispania kuelekea Duesseldorf.

Ndege hiyo inayomilikiwa na shirika la ndege la Ujerumani Lufthansa chini ya nembo Germanwings imeripotiwa kuanguka karibu na mji wa Digne.

Comments are closed.