NEC YAWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA

NEC YAWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA

Like
236
0
Friday, 11 December 2015
Global News

TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini-NEC-imewataka Wananchi waliojiandikisha kupiga Kura katika Majimbo na Kata husika, kujitokeza kwenye vituo walikojiandikisha siku ya Jumapili ili kuweza kupiga Kura na kuwachagua viongozi wanaowataka.

 

Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Damiani Lubuva amesisitiza kwamba taratibu zilizotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu ndizo zitakazotumika katika uchaguzi huo.

Comments are closed.