NETANYAHU AWASILI MAREKANI

NETANYAHU AWASILI MAREKANI

Like
254
0
Monday, 02 March 2015
Global News

WAZIRI Mkuu wa Israeli BENJAMIN NETANYAHU amewasili nchini Marekani kupinga dhidi uwezekano wa kufikia makubalino na Iran juu ya mpango wake wa Nyuklia.

Bwana NETANYAHU amesema mkataba huo hautoshi kuizuia Iran kumiliki Silaha za Nyuklia.

Pia anatarajia kulihutubia Bunge la Congress March 03, hotuba ambayo haikukubaliwa kabla na Utawala wa Rais BARRACK OBAMA na kuiudhi Ikulu ya Marekani.

Comments are closed.