NEW YEAR EVE PARTY YA DRAKE YAWAUNGANISHA LIL WYNE NA BIRDMAN

NEW YEAR EVE PARTY YA DRAKE YAWAUNGANISHA LIL WYNE NA BIRDMAN

Like
398
0
Tuesday, 05 January 2016
Entertanment

New Year’s Eve party ya Drake yawaunganisha Lil Wayne na Birdman,

Huenda mwaka mpya wa 2016 ukawa ndio mwisho wa beef kati ya wawili hawa.

Rais wa Young Money, Mack Maine amefanya kazi kubwa masaa mawili kabla ya party hiyo kuwakutanisha Lil Wayne na Birdman na kuweza kuzungumza jinsi ya kumaliza tofauti zao.

Kwa majubu wa chanzo cha karibu na mastar hawa Mack Maine alitumia simu kuwakutanisha na kuzungumza huku wote wawili wakionyesha utayari wa kumaliza tofauti zao lakini Wyne kwa upande wake amekataa kufuta kesi ya madai ya dola milioni $51 dhidi ya Birdman mapaka watakapofikia hatua ya kufanya makubaliano.

Habari za kumalizika kwa tofauti za mastar hawa zilianza kusambaa muda mfupi mara baada ya picha ya pamoja wakiwa kwenye party kutumwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Mack Maine

wyne insta

Comments are closed.