NGOMA REGGAE BASHMENT KUZINDULIWA KESHO MAISHA CLUB

NGOMA REGGAE BASHMENT KUZINDULIWA KESHO MAISHA CLUB

Like
520
0
Wednesday, 12 November 2014
Entertanment

Tamasha la muziki wa reggae, Ngoma reggae bashment nchini ambalo chimbuko lake ni kipindi cha reggae kinachoruka hapa hapa EFM kila jumamosi.

Tamasha hilo litazinduliwa siku ya kesho tarehe 13 november pale maisha club kwa kuwakutanisha wadau mbalimbali wa muziki wa reggae nchini

Sticker copy

Comments are closed.