NGUVU YA DOLA YATUMIKA KUZUIA WAANDAMANAJI CONGO

NGUVU YA DOLA YATUMIKA KUZUIA WAANDAMANAJI CONGO

Like
292
0
Monday, 19 January 2015
Global News

POLISI nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wamewafyatulia risasi waandamanaji kwenye mji mkuu Kinshasa walio na hasira katika kile kinachoonekana kama jitihada za kutaka kuongoza uongozi wa rais Joseph Kabila.

150113073514_kabila_512x288_afp

Watu kadha walitolewa eneo la katikati mwa mji wakiwa na majeraha ya risasi ambapo pia kulitokea makabiliano kwenye chuo kikuu cha mji huo.

Milio ya risasi iliripotiwa katika maandamano mengine katika mji ulio mashariki wa Goma.

 

Comments are closed.