NHC YASHIRIKIANA NA CELCOM KUZINDUA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA KWA NJIA YA SIMU

NHC YASHIRIKIANA NA CELCOM KUZINDUA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA KWA NJIA YA SIMU

Like
304
0
Tuesday, 19 May 2015
Local News

SHIRIKA  la Nyumba la Taifa-NHC–  kwa kushirikiana na kampuni ya CELCOM limezindua kituo cha Huduma kwa wateja kwa njia ya simu na malipo ya kodi kwa mfumo wa simu za mkononi.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo NEHEMIA MCHECHU amesema kuwa kituo hicho kitasaidia kufikisha huduma kirahisi kwa wateja wao kwa kupiga simu ambayo haitatozwa  kiasi chochote cha fedha.

MCHECHU ameongeza kuwa huduma hiyo pia itasaidia uwajibikaji kwani mitambo iliyofungwa inasafirisha tatizo ngazi moja kwenda nyingine pale kwa lengo la kuzifanyia kazi kikamilifu.

Comments are closed.