NICK YOUNG AZUNGUMZIA NDOA YAKE NA IGGY AZALEA BAADA YA KUNUNUA MJENGO

NICK YOUNG AZUNGUMZIA NDOA YAKE NA IGGY AZALEA BAADA YA KUNUNUA MJENGO

Like
298
0
Wednesday, 05 November 2014
Entertanment

Nicholas Aaron “Nick” Young Mcheza kikapu huko Marekani ambae amezaliwa june 1 mwaka  1985 kwa sasa mahusiano yake na rapa anaefanya vizuri duniani raia wa Austria Iggy Azalea yamepamaba moto.

hivi karibuni wawili hao walitokea kwenye upiga picha katika maandalizi ya sherehe za kitaifa huko Marekani, kwa sasa wawlili hao wamenunua nyumba ya pamoja

tdulbksczgr0ztrpbccr

Kupitia interview aliyoifanya na DuJour Magazine . Nick alikiri ya kuwa hakuwa kuwa kwenye mahusiano ya furaha kama aliyokuwa nayo sasa na Iggy Azalea

Nick aliongeza kwamba Iggy amekuwa mtu muhimu kwa kumshauri kwenye mambo yake yakimaendeleo na zaidi katika mambo ya mitindo alipodai kusifiwa zaidi anapovaa nguo ambazo zimechaguliwa na Iggy hivyo kwake Iggy ndio kilakitu

Alipoulizwa kuhusu mpango wa ndoa alisema hilo ndilo jambo wanalojaribu kujadili kwa sasa kwani sio rahisi kununua nyumba pamoja na mtu ambae huna mpango wa kuishi nae kwa muda mrefu hivyo tunampango wa kufunga ndoa

Comments are closed.