NIGERIA: BUHARI AELEZEA USHINDI WAKE KAMA KUKUA KWA DEMOKRASIA

NIGERIA: BUHARI AELEZEA USHINDI WAKE KAMA KUKUA KWA DEMOKRASIA

Like
249
0
Wednesday, 01 April 2015
Global News

MSHINDI wa uchaguzi wa urais nchini Nigeria Muhammadu Buhari ameasema kuwa ushindi wake unamaanisha kuwa Taifa hilo linafuata mfumo wa kidemokrasi.

Buhari alimshinda mpinzani wake Goodluck Jonathan,kwa kura millioni 2 idadi ambayo wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa itazuia harakati zozote za kuanzisha kesi. Ni mara ya kwanza kwa rais wa taifa hilo kushindwa katika uchaguzi.

Bwana Buhari ,kiongozi wa zamani wa kijeshi aliwahi kuchukua madaraka mnamo mwaka 1980 kupitia mapinduzi.

 

Comments are closed.