NIGERIA: SHAMBULIO LA KUJITOA MHANGA LAUA 26 MSIKITINI

NIGERIA: SHAMBULIO LA KUJITOA MHANGA LAUA 26 MSIKITINI

Like
224
0
Friday, 16 October 2015
Global News

WATU  kadhaa  wameuawa baada ya bomu kuripuka ndani  ya msikiti  katika mji  wa Maiduguri  kaskazini  mashariki  mwa  Nigeria.

Idadi  kamili  ya  watu waliouawa bado  haijajulikana lakini  gazeti  la Nigeria, Vanguard  limearifu kwamba  watu  26 wamekufa.

Kwa mujibu  wa waliolishuhudia  tukio  hilo, washambuliaji  wawili  wa  kujitoa mhanga walijichanganya na watu  waliokuwamo msikitini,  Wameeleza  kuwa mmoja wa washumbuliaji  aliingia ndani  ya msikiti na kujiripua.

Comments are closed.