NIGERIA: WANAWAKE NA WATOTO ZAIDI 45 WAUAWA KWA SHAMBULIZI

NIGERIA: WANAWAKE NA WATOTO ZAIDI 45 WAUAWA KWA SHAMBULIZI

Like
236
0
Monday, 16 March 2015
Global News

WANAWAKE na watoto wachanga zaidi ya 45 wameuawa katika shambulizi lililotekelezwa katika kijiji kimoja huko Egba katika jimbo la Benue Nigeria.

Maafisa wa usalama katika jimbo hilo la kati wanasema kuwa wavamizi walishambulia kijiji hicho alfajiri kuamkia leo .

Hata hivyo,mwanasiasa mmoja kutoka eneo hilo Audu Sule ameiambia BBC kuwa zaidi ya watu 81wamauawa na watu waliokuwa wamejihami kwa bunduki aina ya Kalashnikov.

Comments are closed.