NKURUNZIZA AAPISHWA KWA MUHULA WA TATU

NKURUNZIZA AAPISHWA KWA MUHULA WA TATU

Like
200
0
Thursday, 20 August 2015
Global News

RAIS wa Burundi Pierre Nkurunziza anaapishwa kwa muhula wa tatu uliozua utata katika sherehe ambayo inadaiwa kuwa imefanyika kwa mshangao mkubwa kwa kuwa rais huyo alitarajiwa kuapishwa wiki ijayo.

Hata hivyo hakuna kiongozi wa taifa lolote aliyehudhuria sherehe za kuapishwa kwake huku Afrika kusini ikishirikishwa na waziri mmoja kwa mujibu wa shirika AFP.

Mataifa kadhaa yakiwemo yale ya China na Urusi yalituma mabalozi wao.

 

Comments are closed.