NKURUNZIZA AOMBA UTULIVU BURUNDI

NKURUNZIZA AOMBA UTULIVU BURUNDI

Like
180
0
Monday, 03 August 2015
Global News

RAIS wa Burundi Pierre Nkurunziza ameomba utulivu baada ya wapiganaji waliovalia magwanda ya kijeshi kumuua mmoja wa majenerali walio na ushawishi mkubwa serikalini, Adolphe Nshimirimana  .

 

Katika hotuba aliyoitoa leo mchana baada ya shambulio hilo, Nkurunziza ameomba utulivu akisema kuwa kitendo cha kulipiza kisasi kitamaliza kizazi chote.

 

 

Comments are closed.