NKURUNZIZA KUPAMBANA NA MAUAJI

NKURUNZIZA KUPAMBANA NA MAUAJI

Like
264
0
Thursday, 27 August 2015
Global News

KATIKA hotuba yake aliyoitoa kwa taifa zima rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza ameonyesha hisia zake kuhusu kujumuisha vikosi vya ulinzi na usalama nchini humo.

Hayo yamekuja wiki moja baada ya Rais huyo kuapishwa kushika nafasi ya Urais wa nchi hiyo kwa muhula mwingine huku wakasoaji wakisema kuwa ni kinyume cha Katiba ya nchi hiyo.

Rais Nkurunziza amezitaka kamati za ulinzi na usalama kufanya kazi usiku na mchana ili kupambana na kile alichokiita kundi la watu wachache wanaofanya mauaji na kusababisha hofu kwa raia.

Comments are closed.