NYUKLIA: OBAMA ATOA SHUKRANI ZAKE KWA RAIS WA URUSI

NYUKLIA: OBAMA ATOA SHUKRANI ZAKE KWA RAIS WA URUSI

Like
178
0
Thursday, 16 July 2015
Local News

RAIS wa Marekani Barack Obama amezungumza na mwenzake Vladmir Putin, akimshukuru rais huyo wa Urusi kwa mchango wake katika kufanikisha makubaliano kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran.

Ikulu ya Marekani ya White House imesema viongozi hao wawili waliahidi kuendelea kuwa na mawasiliano ya karibu, na watashirikiana pamoja .

Lakini hakukuwa na kauli yoyote kuhusu mgogoro unaoendelea nchini Ukraine.

 

Comments are closed.