NYUMBANI LOUNGE YA LADY JD YABADILISHWA JINA

NYUMBANI LOUNGE YA LADY JD YABADILISHWA JINA

Like
1144
0
Tuesday, 14 October 2014
Entertanment

Mwimbaji kutoka Tanzania Lady Jd ambae pia alikuwa mmiliki wa Nyumbani lounge kupitia akaunti yake ya instagram alipost picha yenye Caption ya maneno inayoashiria kurudi tena kikazi baada ya kimya cha muda mrefu.

Jide alipost posters ya kuanza kwa show zake pamoja na uzinduzi wa MOG bar & restaurant zamani Nyumbani lounge

ingawa maswali yamekuwa mengi kuhusu maisha ya ndoa ya msanii huyo lakini hakuna kauli thabiti ya kuthibitisha ukweli wa mambo richa ya kuwepo kwa hoja nyingi mitaani  zinazosababishwa na matukio yanayoendelea hivi sasa katika maisha ya msanii huyu ikiwemo hili la sasa la kubadili jina kutoka Nyumbani lounge kwenda Mog bar & restaurant

Jide2

 

Comments are closed.