OBAMA AKIRI KUSHINDWA KWA SERIKALI YAKE KWENYE UTATUZI WA MZOZO WA LIBYA

OBAMA AKIRI KUSHINDWA KWA SERIKALI YAKE KWENYE UTATUZI WA MZOZO WA LIBYA

Like
333
0
Monday, 11 April 2016
Global News

RAIS wa Marekani Barack Obama amekiri kwa mara ya kwanza kwamba serikali yake imefeli katika kutatua mzozo wa Libya.

Amesema hilo huenda ndilo “kosa kubwa” zaidi alilolitenda wakati wa utawala wake.

Obama pia amesema Marekani haikuwa na mpango mahususi wa jinsi Taifa hilo litakavyotawaliwa baada ya kuondolewa madarakani kwa Kanali Muammar Gaddafi.

Comments are closed.