OBAMA ALIHUTUBIA TAIFA LA MAREKANI

OBAMA ALIHUTUBIA TAIFA LA MAREKANI

Like
252
0
Wednesday, 21 January 2015
Global News

RAIS Barack Obama amesema  harakati za kupambana na magaidi wa dola la Kiislamu zitahitaji muda, lakini zitafanikiwa.

Obama ameahidi hayo katika hotuba, juu ya hali ya nchi  inayotolewa na Rais kila mwaka nchini Marekani ambapo katika hotuba  hiyo, Rais Obama amelitaka Bunge la nchi yake lipitishe azimio la kuiruhusu Marekani itumie nguvu za kijeshi dhidi ya dola la kiislamu.

Rais huyo ameeleza kuwa uongozi wa Marekani katika harakati za kupambana na dola  la kiislamu umewazuia wapiganaji  wa kundi hilo kusonga mbele.

 

Comments are closed.