OBAMA KUSUBIRI MAAUMUZI YA NGAZI ZA JUU MGOGORO WA UKRAINE

OBAMA KUSUBIRI MAAUMUZI YA NGAZI ZA JUU MGOGORO WA UKRAINE

Like
272
0
Tuesday, 10 February 2015
Global News

RAIS Barack Obama  wa Marekani amesema atasubiri matokeo ya mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu Ukraine kabla ya kuamua kama Marekani itume silaha kwa serikali ya Ukraine.

Wakati akisema anapendelea  diplomasia, Obama  aliweka wazi suala la kuipa silaha serikali mjini Kiev.

Rais huyo wa Marekani ameyasema hayo katika mazungumzo yake na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel jana mjini Washington.

 

Comments are closed.