OBAMA KUTANGAZA UHAKIKI WA SILAHA

OBAMA KUTANGAZA UHAKIKI WA SILAHA

Like
215
0
Tuesday, 05 January 2016
Global News

RAIS Barack Obama wa Marekani anatarajiwa kutangaza mpango wa kuhakiki silaha katika masoko ya sihala hii leo wakati atakapotangaza mpango huo.

 

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukutana na Mwanasheria Mkuu wa nchi hiyo amesema anataka kutumia mamlaka yake ya urais kwa sababu bunge la congress limeshindwa kushughulikia tatizo hilo.

 

Rais Obama ana matumaini kuwa jambo hilo limepokelewa na wamerekani wengi wakiwemo wamiliki wa silaha, wanaounga mkono na wanaoamini.

Comments are closed.