OBAMA KUZURU KENYA JULAI MWAKA HUU

OBAMA KUZURU KENYA JULAI MWAKA HUU

Like
263
0
Tuesday, 31 March 2015
Global News

RAIS BARACK OBAMA wa Marekani ataizuru Kenya mwezi Julai mwaka huu.

Hiyo itakuwa ziara yake ya kwanza akiwa Rais.

Taarifa Zaidi I meeleza kuwa nchini Kenya, Rais OBAMA ambaye baba yake ni Mkenya atahudhuria mkutano wa Kilele wa Kimataifa wa wajasiriamali.

Mkutano huo utafanyika Kati ya Julai 24 na 26.

Comments are closed.