ONGEZEKO LA DAWA ZA KULEVYA LAWAWEKA HATARINI VIJANA WASIOKUWA NA AJIRA

ONGEZEKO LA DAWA ZA KULEVYA LAWAWEKA HATARINI VIJANA WASIOKUWA NA AJIRA

Like
625
0
Friday, 31 October 2014
Local News

IMEELEZWA kuwa idadi kubwa ya vijana wasiokuwa na ajira nchini wako hatarini kuingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya kufuatia ongezeko kubwa la uingizaji wa dawa hizo nchini

Akizungumza na E fm Mkurugenzi wa Maa media FURAHA LEVILAL amefafanua namna mradi huo utakavyoweza kukomboa fikra za vijana ili kuongeza uchumi wa taifa

FURAHA LEVILAL

Naye kaimu mkuu wa masoko na uhusiano wa NBC RUKIA MKINGWA ameeleza kuwa vijana ni nguvu kazi ya taifa hivyo wajitokeze kwa wingi kushiriki fursa hiyo.………RUKIA MTINGWA

New Picture (11)

Dawa za kulevya

 

Comments are closed.