PAC YAMCHAGUA AMINA MWIDAU KUWA MWENYEKITI WA KAMATI

PAC YAMCHAGUA AMINA MWIDAU KUWA MWENYEKITI WA KAMATI

Like
298
0
Monday, 23 March 2015
Local News

WAJUMBE wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za serikali,wamemchagua Mbunge wa Viti Maalum,AMINA MWIDAU kupitia CUF,kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo.

Katika Uchaguzi uliofanyika mjini Dodoma,Mheshimiwa MWIDAU amechaguliwa na Wajumbe wa PAC kwa kupata kura 15 dhidi ya mpinzani wake ,LUCY OWENYA kupitia CHADEMA aliyeambulia kura mbili.

Akizungumza baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa nafasi hiyo,MWIDAU amesema atafanya kazi iliyoachwa na KABWE ZITTO wakati akiiongoza Kamati hiyo kwa kuzingatia maslahi ya nchi na siyo watu binafsi.

 

Comments are closed.