PAC YAMTIMUA NAIBU GAVANA WA BOT NA BAADHI YA MAOFISA WAANDAMIZI

PAC YAMTIMUA NAIBU GAVANA WA BOT NA BAADHI YA MAOFISA WAANDAMIZI

Like
350
0
Friday, 13 March 2015
Local News

NAIBU Gavana wa Bank Kuu-BOT, JUMA RELI na baadhi ya maofisa Waandamizi wa Bank hiyo wametimuliwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali-PAC.

Hatua hiyo ya kufukuzwa imekuja baada ya kushindwa kutoa maelezo ya kuridhisha kuhusu uwepo wa Watanzania ambao wanatajwa kuwa wamefungua Akaunti nje ya nchi wakati sheria inakataza.

Akizungumzia uamuzi huo jijini Dar es salaamMwenyekiti wa PAC Mheshimiwa KABWE ZITTO amesema kimsingi BOT wanaonekana kutojiandaa kuhusiana na Sakata hilo hivyo ni vema waende kujipanga Zaidi

Comments are closed.