PAKISTAN: KIONGOZI WA KUNDI LA WANAMGAMBO WA LASHKAR -E- JHANGVI AUAWA

PAKISTAN: KIONGOZI WA KUNDI LA WANAMGAMBO WA LASHKAR -E- JHANGVI AUAWA

Like
175
0
Wednesday, 29 July 2015
Global News

KIONGOZI wa kundi la wanamgambo la Lashkar-e-Jhangvi linalopinga waislamu wa Kishia, ameuwawa nchini Pakistan katika mapambano na polisi mkoani Punjab.

Kwa mujibu wa vyombo vya usalama vya Pakistan, wafuasi wa kundi hilo walivamia gari la polisi lililokuwa limembeba kiongozi huyo, Malik Is-haq, na wanachama wengine 13 wa kundi lake.

Lengo la wavamizi hao ilikuwa ni kumkomboa Is-haq.

 

Comments are closed.