PAKISTAN YAISHUTUMU INDIA KWA MAUAJI YA RAIA WAKE

PAKISTAN YAISHUTUMU INDIA KWA MAUAJI YA RAIA WAKE

Like
292
0
Tuesday, 06 January 2015
Global News

PAKISTAN imeishutumu India kwa mauaji ya Raia wake Wanne katika mpaka wa nchi hizo mbili huku India ikisema mlinzi wa mpakani ameuwawa katika hatua inayoongeza hali ya wasiwasi kabla ziara ya Rais wa Marekani BARACK OBAMA baadaye mwezi huu.

India imesema imewaua Wapakistan Wanne waliokuwa wakipanga kufanya shambulizi katika ardhi yake, ingawa vyombo vya Habari vya India na Vyama vya Upinzani vinahoji taarifa hiyo rasmi.

 

Comments are closed.