PALESTINA WAUNGANA NA SYRIA KUWAONDOA IS

PALESTINA WAUNGANA NA SYRIA KUWAONDOA IS

Like
240
0
Friday, 10 April 2015
Global News

WANANCHI wa Palestina wanasema kuwa wamekubali kushirikiana na Serikali ya Syria ili kujaribu kuwaondoa wapiganaji wa IS nje ya kambi moja ya wakimbizi viungani mwa Damascus.

Tangazo kama hilo lilifanywa na Afisa mmoja wa Serikali ya Palestina huko West Bank.

Wapiganaji wa IS walitekeleza shambulizi katika kambi hiyo wiki iliopita na kuweza kuiyumbisha kambi hiyo licha ya pingamizi kutoka kwa jeshi la Palestina.

 

Comments are closed.