PALESTINA YAPATA UANACHAMA WA ICC

PALESTINA YAPATA UANACHAMA WA ICC

Like
235
0
Wednesday, 01 April 2015
Global News

WAPALESTINA  wamepata uanachama wa mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita miezi mitatu baada ya ombi lao kukubaliwa.

Waziri wa Mambo ya nje wa Palestina Riad Malki anatarajiwa kutoa taarifa baada ya kuhudhuria sherehe za makaribisho kwenye mahakama hiyo mjini Hague.

Uanachama wa ICC unaiwezesha Palestina kuifungulia Israeli mashtaka ya uhalifu wa kivita lakini pia utachangia wanamgambo wa Hamas nao kufunguliwa mashtaka.

Comments are closed.