PAPA FRANCIS AWASILI UFILIPINO

PAPA FRANCIS AWASILI UFILIPINO

Like
436
0
Thursday, 15 January 2015
Global News

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani Papa FRANCIS, amewasili nchini Ufilipino kwa ziara ya siku tano katika taifa la tatu kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya waumini wa Kikatoliki duniani.

Maelfu ya Wafilipino wamemiminika barabarani katika mji mkuu Manila kumlaki Papa FRANCIS huku ulinzi ukiwa umeimarishwa.

Comments are closed.