PAPA FRANCIS AWATAKA VIONGOZI WA DINI KULINDA AMANI

PAPA FRANCIS AWATAKA VIONGOZI WA DINI KULINDA AMANI

Like
206
0
Thursday, 26 November 2015
Global News

KIONGOZI mkuu wa Kanisa Katoliki dunia Papa Francis amewataka  viongozi wa  kikristo na Kiislamu nchini Kenya  kujadiliana juu ya kujilinda dhidi ya  mashambulizi ya kinyama ya Waislamu wa itikadi kali yalioikumba Kenya.

 

Papa Francis ameyasema hayo leo nchini humo ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya siku tatu kama sehemu ya ziara  katika nchi tatu za kiafrika.

Kiongozi huyo wa kanisa Katoliki duniani amekutana na  viongozi wa  kidini  mjini Nairobi kabla ya misa yake ya kwanza iliyohudhuriwa na maelfu ya waumini akiwemo Rais Uhuru Kenyatta.

 

Comments are closed.